Jumamosi, 31 Januari 2015

MWALIMU ABAKA MWANAFUNZI WAKE



Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwalimu mmoja wa shule ya sekondari ya Lyakrimu iliyopo wilaya ya Moshi Vijijini, Simon Lyimo akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wake wa kidato cha tatu katika shule hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi hilo mapema leo  imesema Mwalimu huyo alimbaka mwanafunzi huyo jana saa 11.45 jioni baada ya mwalimu huyo kumwita mwanafunzi huyo kwenye moja ya chumba cha maabara shuleni hapo.

Aidha baada ya mwanafunzi huyo kuitikia wito wa mwalimu wake na kuingia katika chumba hicho, alijikuta akishikwa kwa nguvu na mwalimu huyo aliyeanza kumtomasa tomasa sehemu zake za mwili na kisha kumvuliwa nguo zake na hatimaye kuanza kubakwa.

Mwanafunzi huyo aliumizwa vibaya sehmu zake za siri, baada ya kufanya unyama huo alikimbia lakini nguvu ya sheria haikumwacha mwalimu huyo ambaye saa chache baadaye alitiwa mbaroni na anashikiliwa kwa mahojiano kabla ya kupandishwa mahakamani.

TANZANIA LAUNCHES TOURISM PROMOTION ROADSHOWS IN THREE CITIES OF US WEST COAST



 TEAM TANZANIA LED BY PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM DR. ADELHELM MERU POSED IN A GROUP PICTURE DURING THE LAUNCHING OF THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN IN THE US WEST COAST AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA



Tanzania has launched a massive tourism campaign through roadshows in the three cities of America’s West Coast. Permanent Secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism Dr. Adelhelm Meru said that the campaign will help in promoting country’s tourist attractions in the cities of Los Angeles; San Fransisco and Seattle.

Dr. Meru said “We are confident that 2015 will be a year of continued growth from the American Market especially since destination Tanzania is on so many 'hot lists' of places to go".

On her part, the Acting Managing Director of Tanzania Tourist Board who organized the roadshows Ms. Devota Mdachi, said "The West Coast part of the United States of America is one of the largest tourism generating markets for Tanzania and we expect this to increase as Ethiopian Airlines opens its new gateway in Los Angeles and Turkish Airlines opens its new gateway in San Francisco.

Tanzania has become the top destination of 2015 for the American traveler. It was named one of the “Best Places to travel in 2015” by Travel + Leisure, featured in the“52 Places To Go In 2015” by The New York Times and Tanzania's Ruaha National Park was featured on Afar Magazine’s “2015 Where to Go” list.

The success of Tanzania Tourist Board’s marketing efforts in the USA shows
a 7% increase in American visitors in 2013 (up from 65,110 in 2012 to 69,671 in 2013), (any new stats?) making the USA Tanzania’s second largest tourism source market worldwide. This is also due to the fact that, Tanzania, in addition to having three of Africa’s natural wonders of the world, is viewed as a peaceful and stable destination, rich in history and cultural diversity.

The aim of this promotional campaign is also to show support for Tanzania’s American tourism partners, agents, tour operators, airlines, and media as well as to provide an update on the expanding tourism products, new infrastructures and air connections.

Dr. Meru is leading a high profile delegation from Tanzania comprising officials from both the government and private sector

*ABOUT TANZANIA*

Tanzania, the largest country in East Africa, is focused on wildlife conservation and sustainable tourism, with approximately 28% of the land protected by the Government, the largest percentage of any country in the
world. It boasts of 16 National Parks and 32 Game Reserves, 50 Game Controlled Areas, one special Conservation Area (the Ngorongoro) and three Marine Parks. It is home to the tallest mountain in Africa, the legendary MT. Kilimanjaro; The Serengeti, home to the "Great Animal Migration" that was named the New 7th Wonder of the World, by USA Today and ABC TV's Good Morning America; the world acclaimed Ngorongoro Crater, often referred to as the "Eden of Africa" and the “8th Wonder of the World”; Olduvai Gorge, the cradle of mankind:  the Selous, the world’s largest game reserve; Ruaha, now the second largest National Park in Africa; the spice islands of Zanzibar; and seven UNESCO World Heritage Sites. Most important for visitors, the Tanzanian people, with a rich history and diverse blend of cultures, are warm and friendly. Tanzania, an oasis of peace and stability with a democratically elected and stable government, will celebrate its 54rd anniversary of Independence on December 9th, 2015. 
 PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM DR. ADELHELM MERU DELIVERING HIS SPEECH DURING THE LAUNCHING OF THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN IN THE US WEST COAST AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA.



 ACTING MANAGING DIRECTOR OF TANZANIA TOURIST BOARD MS. DEVOTA MDACHI GIVING HER REMARKS DURING THE LAUNCHING OF THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN IN THE US WEST COAST AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA.



 PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM DR. ADELHELM MERU (RIGHT) PRESENTING A TANZANIAN WOOD CARVING TO VICE MAYOR OF BEVERLY HILLS JULIAN GOLD OF AS AN EXPRESSION OF APPRECIATION ON BEHALF OF H.E. JAKAYA KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DURING THE PRIVATE VIP RECEPTION HELD AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA, WHERE THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN WAS LAUNCHED.



 VICE MAYOR OF BEVERLY HILLS, JULIAN GOLD (SECOND LEFT), JOINED BY FORMER MAYOR, JIMMY DELSHAD (LEFT), PRESENTING A PROCLAMATION HONORING THE PEOPLE OF TANZANIA TO DR. ADELHELM JAMES MERU, PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DURING THE PRIVATE VIP RECEPTION HELD AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA, WHERE THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN WAS LAUNCHED.



 PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM DR. ADELHELM MERU (SECOND LEFT) AND TANAPA’S DIRECTOR OF TOURISM AND MARKETING IBRAHIM MUSSA (LEFT) IN A PICTURE WITH SOME OF THE INVITEES WHO ATTENDED THE LAUNCHING OF THE TOURISM PROMOTION CAMPAIGN IN THE US WEST COAST AT THE PENINSULA HOTEL IN BEVERLY HILLS, CALIFORNIA.


Issued by the Acting Managing Director
TANZANIA TOURIST BOARD
28th January, 2015

Alhamisi, 29 Januari 2015

MBEYA CITY YAIADIBISHA SIMBA SC, YAIBANJUA 2-1 UWANJA WA TAIFA



 HAJIBU AKIBANWA MBAVU NA WALINZI WA MBEYA CITY FC.


Timu ya soka ya Simba jana ilikwaa kisiki katika michuano ya ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mbeya City.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 23 lililofungwa na mshambuliaji chipukizi Ibrahim Ajibu. Bao hilo lilidumu hadi mapumziko.

Mbeya City ilisawazisha bao hilo dakika ya 76 kupitiakwa Paul Nonga baada ya kufanyika kwa shambulizi kali kwenye lango la Simba.

Bao la pili na la ushindi la Mbeya City lilifungwa kwa njia ya penalti na Yussuf Abdalla baada ya kipa Manyika Peter wa Simba kudaka mguu wa Raphael Alfa ndani ya mita 18 badala ya mpira.

Jumanne, 27 Januari 2015

KAMBI YA WAZEE WASIOJIWEZA MOSHI YAGEUKA JEHANAMU



Wazee wasiojiweza wanaoishi kwenye kambi ya wazee ya Njoro katika Manispaa ya Moshi inayomilikiwa na serikali kuu  wanakabiliwa na matatizo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa huduma za afya,usafiri na uzio wa makazi yao.
 MZEE INYASI ATANASI
 MATHAYO MAYUNGA


 Bi. NDETA TENGA

Wazee hao wametoa malalamiko  hayo kwa kikundi cha familia ya wakazi wa Manispaa ya Moshi cha ‘Big Family’ ambao waliitembelea kambi hiyo kuwapa misaada ya kijamii wazee hao na kula nao chakula cha mchana.
Wakizungumza kwa niaba ya wenzao Mzee Salim Ali na Mzee Inyasi Atanasi ambaye ni mwenyekiti wa wazee hao wamesema, ingawa kuna zahanati katika kambi hiyo lakini haina dawa za kutosha na hamna vipimo wanapougua..
Malalamiko ya wazee hao yameungwa mkono  na Afisa Ustawi Mfawidhi wa kambi hiyo yenye uwezo wa kuhudumia wazee 35 Bi. Ndeta Tenga na kueleza kuwa  wazee wanne wamefariki dunia  kati ya mwezi Januari na Mei mwaka jana na kuiomba serikali iboreshe huduma za kambi hiyo.

Akiongea na wazee hao baada ya kukabidhi msaada huo ukiwemo unga, nguo,mafuta ya kupikia, mchele, sukari, sabuni na viatu vyenye thamani ya zaidi ya shs. 2.5mil/= Mwenyekiti wa ‘Big Family’ Dismas Dede ameahidi kuboresha baadhi ya huduma ikiwa ni pamoja na kukarabati jiko.