Ukipata nafasi ya kufika kule
*Mbozi, Mbeya* ukakutana na habari za watu wanaotajirika kutokana na *kilimo
cha kahawa*, kwa kweli unaweza kuwehuka, na kujiona kama mtu uliyechelewa kweli
kweli.
Wakati unarudi, kama ukishuka MAFINGA, NJOMBE na kufuatilia stori na kutazama mamilionea walioupata umilionea kutokana na BIASHRA ya MITI na MBAO unaweza kudhani kwamba hapa duniani fursa inayowatoa watu kiuharaka ni mbao pekee!
Pitia maeneo ya RUAHA MBUYUNI, IRINGA kutana na WAHEHE wakulima wa NYANYA na VITUNGUU wakikuonesha coaster walizonunua kwa kilimo cha msimu mmoja pekee. Aisee kama una akiba utanunua shamba muda huo huo na kuachana na ajira kama ulikuwa mwajiriwa.
Ukitoka pale ukaenda mpaka MANG'ULA na IFAKARA,MOROGORO, ukakutana na habari za watu wanavyopiga hela kwenye MPUNGA kichwa chako kinaweza kuwaka moto. Unaweza kujizaba vibao na kujimaindi, baadae utajiuliza, "Nilikua wapi siku, zote hizi?"
Ukitoka kule jisogeze mdogo mdogo hadi KARIAKOO,DAR kisha kutana na wafanyabiashara wa maduka pale ambao wana gepu la kufuata bidhaa kule China, Uingereza na Dubai.

Utapigwa na butwaa utakapoona watu wakiongelea milioni mia
tatu, milioni mia saba, bilioni mbili kama vile wanaongelea elfu kumi kumi.
Usipokua na utulivu unaweza kuamini
kwamba biashara zinazolipa ni maduka na unaweza kuanza kufight kupata fremu
pale!
Usiende kwanza Zanzibar, bali chukua hata bus au Fastjet uende chapchap kule ARUSHA Hapo kutana na stori za mabilionea wa madini wanaotikisa jiji.
Usiende kwanza Zanzibar, bali chukua hata bus au Fastjet uende chapchap kule ARUSHA Hapo kutana na stori za mabilionea wa madini wanaotikisa jiji.
Ukisimuliwa ABC za madini na namna
ya kucheza nayo, unaweza kuacha kila kitu na kuanza kuhangaika na biashara ya
madini. Hapo sijakutajia jeuri utakayoiona kwa watu wanaofanya biashara ya
utalii. Nakwambia hela ulizozisikia Kariakoo utaziona ni cha mtoto sana!
Unapoendelea kutafakari, rudi mtandaoni. Kama ukibahatika kukutana na watu wanaoitwa NETWORK MARKETING utakoma kuchagua. Wakikuelezea stori zao, wakikusimulia walivyonunua mavouge yao, wakikuonesha picha zao walizokua wanakula bata *DUBAI,PARIS,MADAGASCAR na UAMERIKANI*, nakwambia korosho utaziona takataka.
Mbao utazihesabu kama biashara ya utumwa, maduka ya Kariakoo utayaona kama michosho na mipunga ya Ifakara utaiona kama madudu flani ya walugaluga waliochelewa! Sasa mara kumi hata ya Network Marketing wa bidhaa, usiombe ukutane na fursa ya digital currency, hakika nakwambia utatembea kifua mbele ukiamini kutajirika ni ishu ya kufumba na kufumbua.
Hapo sijaamua kusafiri na wewe kwenda kwa wale tunaokinadi kilimo kama dhahabu inayoelea.

Ukisikiliza wafuasi wa kilimo,
ukasikiliza hesabu wanazokupatia unaweza kusema wanaohangaika na madini
wanapoteza muda! Ngoja niuchune kukupeleka kwenye fursa ya samaki kuzitoa
Mwanza kupeleka Congo, ngoja nisikurushe roho na habari ya korosho, ngoja
nikaushie habari ya ufuta!
KUNA MAMBO MATANO YA KUFAHAMU:
1.Usipokua na utulivu wa fikra, hizi habari za fursa za biashara na ujasiriamali zinaweza kugeuka kuwa kama miluzi mingi, na itakupoteza.
2.Mtu yeyote asikudanganye ya kwamba kuna biashara bora kuliko nyingine. Kila biashara, fursa unayoiona huku duniani inao uwezo wa kutengeneza matajiri.

Kuna matajiri kutokana na kumiliki
shule, wengine kwa kumiliki mabasi, wengine kwa kuwa na vituo vya mafuta,
wengine kwa kilimo, wengine kwa udalali n.k.
Usisahau kuwa biashara
inayomtajirisha mmoja, mwingine akiingia ndio inaweza kumfilisi na kumpoteza
kabisa! Kawaulize waliolizwa kwenye kilimo, watakusimulia.
3.Mtu yeyote asikuchanganye na miluzi yake hata ukaamini kwamba kuna fursa inayoweza kumfaa kila mtu.
3.Mtu yeyote asikuchanganye na miluzi yake hata ukaamini kwamba kuna fursa inayoweza kumfaa kila mtu.
Sio kila fursa inayompa faida John
inaweza kukupa faida wewe Ashura. Ukifuatilia kwa umakini utabaini kwamba
mafanikio hayakai katika uzuri wa fursa, bali yanatokana na mchukua fursa.
Mwingine anaweza kujifunza na kumudu
kuifanya network
marketing, lakini mwingine nature ya network marketing haimfai, isipokua akienda kule Mafinga akazamia kwenye mbao, mwaka mmoja mbali unaona ana Semitrela zake mbili na mambo yanaenda.
Kuna watu wanapotea kiuchumi kwa kung'ang'ana na fursa kwa kukariri. Kisa kuna mtu alinunua Range Rover katika network marketing na wewe unaendelea kukomaa, mwaka wa tano sasa hata bodaboda huna, kumbe ungeenda zako Mbozi kwenye Kahawa sasa hivi usikute na nyumba ungekua umejenga.

Kisa wanaoenda China wanatoka na
wewe unahangaika na biashara za maduka, mwaka wa ishirini bado hakujasomeka na
kumbe ungeenda zako kwenye madini huko Mererani muda huu ungekua umeshanunua
helkopta yako!
4.Ni kweli kwamba inatakiwa tujifunze fursa mbalimbali, lakini ifike sehemu mtu uchague kukomaa na fursa fulani pasipo kurukaruka.
4.Ni kweli kwamba inatakiwa tujifunze fursa mbalimbali, lakini ifike sehemu mtu uchague kukomaa na fursa fulani pasipo kurukaruka.
Utajiri hauji kwa mtu kuwa bize na
kila fursa inayoingia, bali unakuja kwa kujifunza fursa nyingi na ku-stick na
eneo moja, ama maeneo machache ambayo, utajitambulisha nayo na watu
watakutambua.
Na ukishakua katika kukomaa na
maeneo yako (fursa ulizoamua kukomaa nazo), usianze tena kuyumbayumba na
kutamani ya wengine.
5 .Lazima ifike mahali utambue kwamba kila mtu anahitaji fedha za kutosha lakini hatuhitaji kiwango sawa cha fedha kwa sababu makusudi na malengo yetu hayafanani.
5 .Lazima ifike mahali utambue kwamba kila mtu anahitaji fedha za kutosha lakini hatuhitaji kiwango sawa cha fedha kwa sababu makusudi na malengo yetu hayafanani.
Nikisema hivi, sikushauri uhangaike na fursa
kwa motive ya hela pekee, bali ufanye vitu kama sehemu ya kuufurahia mchakato
wa kazi, na fedha ziwe ni matokeo na sio lengo namba moja
Fursa zipo nyingi kuwa makini katika maamuzi.
NAWATAKIENI HERI YA MWAKA MPYA
Fursa zipo nyingi kuwa makini katika maamuzi.
NAWATAKIENI HERI YA MWAKA MPYA
SAFARI YAKO YA MAFANIKIO UTAJIRI NA RIZIKI ZAKO ZIMESIMAMA NA KUZINASUA UWEZE KUSONGA MBELE SOMA KWA UMAKINI UWEZE KUIJUA SIRI HII.
JibuFutaKATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.
N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843
MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA PIA UMBALI POPOTE ULIPO KENYA,UGANDA, OMAN, CONGO RWANDA N.K
WOTE NAWAKARIBISHA.
(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO
i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu
Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao
Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana
ii) JAMBO LA PILI
Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau
Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako
iii) JAMBO LA TATU
ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake
iv) UKIWA WAPATA PESA
ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji
v) USIMZULUMU MTU
kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa
vi) USIZARAH MILA
ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema
vii)USIWE WA NAMNA
1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.
KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K
DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.