Jumatano, 24 Desemba 2014

TIBAIJUKA AMJIBU RAIS KIKWETE



Aliyekuwa waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka amesema licha Rais kumuondoa katika nafasi yake aliyokuwa nayo sasa amerudi jimboni kwake kwaajili ya kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi wake.

Kwani nafasi aliyokuwa nayo ilikuwa haimpi nafasi ya kuwasimamia wananchi katika jimbo lake na kwamba Pesa hizo alipewa na Rugemalila zilikuwa za kusaidia shule na alipewa kama zawadi bila kujua kama pesa hizo zilitoka katika akaunti ya TEGETA SCROW ndio maana hakutaka kujiuzuru mapema.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni