Jumanne, 19 Desemba 2017

BREAKING NEWS,VIGOGO HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI KIZIMBANI



TAASISI  ya Kuzuia na Kupamba na rushwa(Takukuru) mkoani Kilimanjaro,imewafikisha mahakamani waliokuwa vigogo wa Halmashauri ya wilaya ya Hai wakituhumiwa kwa makosa mbali mbali ikiwamo ya matumizi mabaya ya madaraka.

Washitakiwa hao ni aliyekuwa mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Melkezedeck Humbe ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya yaBariadi mkoani Simiyu,aliyekuwa mweka hazina wa halmshauri hiyo,Thadeus Meela na Valtine Mollel.

Taarifa  za hivi punde zilizotufikia kutoka Hai,washitakiwa hao muda si mrefu watasomewa mashitaka yao katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya hai .

Kwa taarifa zaidi  juu ya mashitaka yanayowakabili vigogo hao tutakuletea muda si mrefu

Endelea kutembelea mtandao wetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni