Ni
jambo jema kuufikia mwaka mwingine, huku ukijua kwamba ulichokifanya mwaka
uliopita kilikuwa na maana sana katika ulimwengu unaoishi.
Binadamu
aliwekwa duniani kutimiza makusudi fulani hivyo ni jambo jema kumshukuru huyo
aliyemweka binadamu ili atimize makusudi yake kwa mafanikio ya juu.
Wengine
huingia mwaka mwingine wakiwa hawajui watafanya nini.
Blogu
hii inakutakiwa mipango kazi iliyo simama ili mwishoni mwaka 2015 mahesabu yawe
mazuri yasiyo na dosari na Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda.
AMEN
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni