Aliyekuwa waziri wa
Ardhi, Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka amesema licha Rais kumuondoa
katika nafasi yake aliyokuwa nayo sasa amerudi jimboni kwake kwaajili ya
kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi wake.
Kwani nafasi aliyokuwa nayo
ilikuwa haimpi nafasi ya kuwasimamia wananchi katika jimbo lake na kwamba Pesa
hizo alipewa na Rugemalila zilikuwa za kusaidia shule na alipewa kama zawadi
bila kujua kama pesa hizo zilitoka katika akaunti ya TEGETA SCROW ndio maana
hakutaka kujiuzuru mapema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni