Jumatatu, 19 Januari 2015

PAPA FRANCIS AITAKA JAMII KUPENDANA



Papa Francis amewataka waumini wa dini hiyo kujaliana baina yao ili kuendelea na kampeni ya kupalilia amani duniani kote.

Akizungumza mjini Manilla, waumini zaidi ya milioni sita walikusanyika mjini humo siku ya Jumapili kwa ajili ya ibada na mkuu huyo wa Kanisa la Katoliki duniani.

Papa Francis kukiwa na rangi ya njano katika vazi lake aliwataka waumini hao kuendelea kupendana ili kujenga amani katika jamii 
 "May he enable all the beloved people of this country to work together, protecting one another, beginning with your families and communities,"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni