Alhamisi, 8 Januari 2015

REAL MADRID YADUNDWA COPA DEL REY, TORRES APOKEWA KWA FURAHA



Real Madrid imeambulia kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa mahasimu wake Atletico Madrid katika mtanange wa Kombe la Mfalme nchini humo jana.

Mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Vicente Calderon, kushuhudiwa Fernando Torres akianza kama Diego Simeone alivyosema katika mtanange huo na kupokewa kwa shangwe na mashabiki wa Rojiblancos.

Mabao ya Rojiblancos yalitupiwa kimiani na  Raul Garcia kwa mkwaju wa penati na Jose Gimenez na kuibua shangwe.
 CHANZO: MARCA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni