Jumatano, 14 Januari 2015

SIMBA YATWAA MAPINDUZI CUP 2015, YAITUNGUA MTIBWA FAINALI



Mechi ya fainali Mapinduzi Cup 2015 kati ya Mtibwa Sugar na Simba imemalizika kwa timu ya Simba kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-3.
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar ambapo mpaka dakika 90 ilikua sare tasa hivyo kuamuliwa kwa matuta na ushindi kuwaendea wana msimbazi hao


MTIBWA:
1.Ally Lundenga (PG)
2.Shabaki Nditi (PG)
3.Rajab Jeba (Miss )
4.Ramadhani Kichuya (PG)
5.Vicent Barnabas (Miss)

SIMBA:
 1.Awadhi Juma (PG)
2.Shabani Kisiga (Miss )
4.Ramadhani Kessy (PG)
5.Hassan Isihaka (PG)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni