Jengo la kituo cha Radio na Luninga cha Clouds Fm Jijini Dar es salaam limeshika moto mchana huu wa leo.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinapasha kuwa,sehemu kubwa ya jengo la kituo hicho cha Chouds Media Group linaungua moto huku juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Kutokana na mkasa huo,matangazo ya radio pamoja na Televisheni yamesitishwa kwa muda hadi hapo hali ya mambo itakapokuwa imetengemaa
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Kutokana na mkasa huo,matangazo ya radio pamoja na Televisheni yamesitishwa kwa muda hadi hapo hali ya mambo itakapokuwa imetengemaa
Taarifa zaidi zinaendelea kuja........
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni