Pichani ni panzi mwenye alama ya bendera ya Taifa anayepatikana ndani ya Hifadhi ya msitu wa Asili uliopo milima ya Ulunguru mkoani Morogoro(Picha na Sitta Tuma)
Pichani ni panzi mwenye alama namba tisa mgogoni pia akiwa na miguu mitatu,naye ni moja ya maajabu yanayopatikana ndani ya hifadhi ya msitu wa Asili uliopo milima ya Uluguru mkoani Morogoro.(picha na Sitta Tuma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni